Lyrics


KING'S MIC

Intro:
Back again (we back), your boy Shem
Wernono Fam in tha heezy

Shem:
Nina silaha za kusali ka Paulo na Sila
Juu neno lake miufuata ka desturi na mila
Na kila ngoma nafunga nastretch hizo limits
Ni Gospel unaeza tell from the lyrics

Nahitaji hii taji so miutumia kipaji
Hip hop! Culture na sanaa ya uimbaji
Heaven! Ndo mahali ganji yangu miuhifadhi
Baadhi yenu nyi hunifeel, the rest, niwie radhi

Hii ni Gospel, so we go for lyrical perfection
Si hupanga mistari ka voters tym ya election
Kabla ngoma idie siuget muscle pull kwa shingo
Juu tumetingishwa vichwa seriously to the single

Lost in sin na bado alitupenda
Kasema Baba leo nitume nami ntaenda
Niwe mmoja wao nitembee kati yao
Na watakao niamini watakua wanao

Chorus:
This Mic belongs to the King
And when I get behind it I give it my everything
Hope utaamini ile flava si hubring
Si kudance tu ngoma ikispin eeiyah eh! X2

Tosh aka G Fizz:
Collabo kali na ka unashindwa ni nani
Wamekam kuleta ukweli ka kesi mahakamani
Basi ni vijana shwari kutoka mitaa za ndani
Tunadai ukweli ni Yesu mwingine hapatikani

Na, hakuna haja ya kuhit ukinde platinum
Juu skill bila truth basi ni Pope bila Vatican
Na cold bila cardigan na states bila michigan
Ka hauskizi words hakuna haja ya kukatika

Swali ni unachofanya ni cha maana
Na ukweli unayofuata ni baraka ama laana
Na kama unahisi maisha yako yote imesimama
Basi mjaribu Yesu utatoka hapa salama haa! G Fizz

Rawny Ron:
Mistari ni kali kama mix ya kachumbari
Part 2 Gospel bounce round hii mtakubali
Kufanya mambo kuwakilisha kama kazi
Na Gospel itarise vile tide ya Tsunami

Wernono Fam! Flow ina synergy
Collabo na mwokozi, ni full of energy
Ndani ya ministry, focus ni eternity
Na HipHop tuta use kuspeak tu the realities

Ni fantastic na bado evangelistic
Na ni mystic na bado tu ni gisty
So weka juu comin through
Wakilisha Yesu ndo kitu si hudo hey!

Chorus x2

Shem:
Stori ni holy na ni noma definitely mi huisoma
So naspit nuthn but Gospel kwa kila ngoma
Nabonga stori najua vision nishaiona
The message made my ice cold heart feel warmer

Nafuse melodies na flow moja maximum
Vision ya mziki ni calvary's outcome
Salvation kwa wote maybe 1000 albums
Lord willin timbs na baggy jeans za phat farm

Natumia njia ka elfu mia
Just to make sure injili umeskia
I'm livin tha life, hii ni kitu miupitia
Juu mdomo inapreach maji haifai kunuka bia

Holy Hiphop ni definetely hot
Si huangalia mbele si ka wife ya Lot
Ka natafuta fame,then I'm in for pain
Forget me, show respect when u call His name

Chorus X2

Outro:
Kingdom Hiphop, straight in ur ear mazee
Turn ur speakers up, let them bang
Wernono Fam hahaha
Si hukam thru kwa kila track
Yo we neva hold back, thass wassup
Jesus Christ forever and ever
Let's Go!




WAPE HABARI

CHORUS:
They don't know me, Hawanijui!
Stand up! Man up! Wape habari!

Verse 1:
God willing ntado hii mziki miaka ka twenty
Or maybe more, I'll give hadi niwe empty.
Motivation si pupa ya kushika senti,
I just want to show off the God who sent me.
He's the alternative, fo all who want to live.
Nawapa absolutely hivo tu ndo miubehave.
I glorify the Father, lift up the Son,
Shine in the Spirit and get the job done.
Clarity kwa kila line na kila syllable
About who I represent hadi wadai mi nabore,
But mi huignore and proceed to give more
Coz I'm all wrapped up in the God I live for.

CHORUS x4

Verse 2:
I won't stop loving You, na-use kila avenue
Ka siezi kusifu afadhali mziki niache tu.
I was born to produce music for the Spirit,
So if God's not in it, I'll drop it in a minute!
Umeniinspire ni aim higher my whole entire
Mindset is fixed on your empire.
Expanding your kingdom napreach sioni haya
(coz) they missed it, loving the music but not the Messiah!
My instinct, is to lift His name up!
Message ni simple, I need not say much:
JESUS SAVES I hope unaeza tell
From the music, hio ndo message mi na sell.

CHORUS x4

Verse 3:
DJ anaspin death juu ya decks kwa station
Sayin live for today unaeza dedi kesho.
Giving poisonous music to a desperate nation
At this rate inakaa hell ndo destination.
But WAIT! Here come the urban disciples
Ready kufuse rap na the Bible.
Akina sisi, sinners, writeoffs
But through JESUS our sins have been wiped off!
Acha niilete, I'm so dedicated
Kuwashow niaje mi na GOD tuko related.
At age thirty three, alidie Calvary
For you and me boss! Hakuna love ingine kama hii!

CHORUS x4

No comments: